Kidyaberdyaber
Mandhari
Kidyaberdyaber (au Kijabirrjabirr) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadyaberdyaber katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidyaberdyaber ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidyaberdyaber kiko katika kundi la Kinyulnyulan.
Viungo vya nje
- lugha ya Kidyaberdyaber kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidyaberdyaber Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidyaberdyaber katika Glottolog
- lugha ya Kidyaberdyaber katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidyaberdyaber kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |