Nenda kwa yaliyomo

Jumuiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 02:08, 12 Aprili 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2578692 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Jumuiya (kwa Kiingereza: Commonwealth) kwa asili ya neno ni eneo la nchi lililotengwa kwa ajili ya utawala ndani ya dola fulani. Baadaye hutumiwa pia kwa muungano wa nchi kwa ajili ya malengo zilizo nayo pamoja.

Baadhi ya mifano ya jumuiya ni:


Marekani

[hariri | hariri chanzo]

Nchini Marekani majimbo manne tu huitwa Commonwealth:

  1. Commonwealth of Kentucky
  2. Commonwealth of Massachusetts
  3. Commonwealth of Pennsylvania
  4. Commonwealth of Virginia