Nenda kwa yaliyomo

Kisango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:55, 14 Agosti 2023 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kisango (au Kisangho) ni krioli ya Afrika ya Kati ambayo ni lugha kuu na lugha rasmi ya nchi hiyo.

Imetokana na Kingbandi cha Kaskazini, katika jamii ya lugha za Niger-Kongo. Hivyo ni krioli isiyotokana na lugha za Kizungu, ingawa imekopa maneno mengi kutoka Kifaransa.

Mwaka 1988 ilikuwa lugha mama ya watu 450,000, na lugha ya pili kwa 1,600,000. Inatumika pia katika sehemu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Chad.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikipedia
Wikipedia
Kisango ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.