Nenda kwa yaliyomo

George Beadle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 03:30, 5 Julai 2021 na Mary calist mlay (majadiliano | michango) (#WPWP #WPWPARK)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
George Beadle na Bernie Sanders

George Wells Beadle (22 Oktoba 19039 Juni 1989) alikuwa mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya jeni na vimeng’enya. Mwaka wa 1958, pamoja na Edward Tatum na Joshua Lederberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Beadle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.