Nenda kwa yaliyomo

José de Fontes Pereira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:38, 29 Mei 2021 na Mary calist mlay (majadiliano | michango) (Vyanzo)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

José de Fontes Pereira aliyezaliwa mwaka1838 huko Luanda , na alifariki Mei mwaka1891 alikuwa mwanasheria-mwandishi na mwandishi mkali wa Angola.

Ukizingatia yeye kama raia wa zamani wa Angola na assimilado, Pereira alitumia fursa ya vyombo vya habari vya bure nchini Angola kutoka 1870-1890 kuhoji majukumu ya Ureno na udhibiti wa Angola. Alizungumzia mada kama vile kusafirishwa kwa Waangola weusi kwenda kwenye mashamba ya São Tomé na Príncipean, kulazimishwa kufanya kazi ndani ya koloni, ukosefu wa ufanisi, ufisadi na ubaguzi wa rangi, kati ya mengine mengi.

Akiwaandikia walowezi wa Kireno waliosoma huko Angola, Pereira aliandika zaidi kwa lugha ya Kireno. Pereira alipoteza kazi na akahukumiwa , mnamo mwaka 1890, alipendekeza Waingereza wachukue utawala wa kikoloni wa koloni kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa Ureno. Alikufa miezi 16 baadaye mnamo Mei 1891 kwa sababu za kiasili.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Eduardo A. Estevam Santos (2020). Imprensa, raça e civilização: José de Fontes Pereira eo pensamento intelectual angolano no século XIX. Afro-Asia, núm. 61. doi: 10.9771 / aa.v0i61.31466 ( Fungua ufikiaji )
  • ""Angola Is Whose House?" Early Stirrings of Angolan Nationalism and Protest, 1822-1910 by Douglas L. Wheeler, Journal of African Historical Studies, 1969
  • Wheeler, Douglas L. (1970). An early Angolan protest: the radical journalism of José de Fontes Pereira (1823-1891). In Rotberg et al., Protest and power in black Africa (pp.854-874). New York: Oxford University Press.
  • CChilcote, Ronald Hodell & California. University, (1972). The journalism of José de Fontes Pereira (1823-1891). In Protest and resistance in Angola and Brazil : comparative studies (pp. 76-78). Berkeley[, Calif. etc.]: University of California Press.

[[Jamii:Arusha translation-a-thon]