Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ya Mediteranea ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi. Eneo lake ni takriban milioni 2,5 km². Kina chake kirefu ni 5,267 m. Ina kanda ya hali ya hewa ya pekee pamoja na mimea na wanyama.[Jamii:Bahari ya mediteranea]]