Kipeo cha pili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kipeo)
Katika hisabati, kipeo cha pili (kwa Kiingereza : square) ni tokeo la kuzidisha namba mara namba hii.
Kwa mfano, 4 ni kipeo cha pili cha 2 kwa hivyo 2*2=4
9 ni kipeo cha pili cha 3 kwa hivyo 3*3 = 9
Kwa programu ya takwimu R
[hariri | hariri chanzo]Ili mtafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :
> 5^2
[1] 25
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.