Himaya (biolojia)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Himaya)
Himaya (kwa Kiingereza: Kingdom) ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi.
Himaya ni migawanyiko ya domeni, halafu kila himaya imegawanyika katika faila kadhaa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Himaya (biolojia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |