23 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Agosti ni siku ya 235 ya mwaka (ya 236 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 130.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1990 - Nchi ya Armenia inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1871 - Jack Butler Yeats, mchoraji kutoka Ireland
- 1931 - Hamilton Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 1933 - Robert Curl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1996
- 1940 - Thomas Steitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2009
- 1970 - Jay Mohr, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1978 - Kobe Bryant, mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1176 - Rokujo, mfalme mkuu wa Japani (1165-1168)
- 1939 - Sidney Howard, mwandishi kutoka Marekani
- 1950 - Frank Phillips, mjasiriamali kutoka Marekani
- 1982 - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1997 - John Kendrew, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1962
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rosa wa Lima, Zakayo wa Yerusalemu, Abondi na Irenei, Siriako na Arkelao, Lupo wa Sistov, Klaudi, Asteri na Neoni, Flaviani wa Autun, Eujeni wa Ardstraw, Antoni wa Gerace n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |