25 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Agosti ni siku ya 237 ya mwaka (ya 238 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 128.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1754 - William Murdock, mhandisi Mwingereza, na mvumbuaji wa taa ya gesi
- 1841 - Emil Theodor Kocher, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1909
- 1850 - Charles Richet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1913
- 1900 - Hans Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
- 1916 - Frederick Robbins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 1919 - George Wallace, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1930 - Sean Connery, mwigizaji wa filamu kutoka Uskoti
- 1930 - Magnus Mwalunyungu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1934 - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil
- 1935 - Charles Wright, mshairi kutoka Marekani
- 1953 - Maurizio Malvestiti, askofu Mkatoliki nchini Italia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1270 - Mtakatifu Ludoviko IX, mfalme wa Ufaransa (1226-1270)
- 1776 - David Hume, mwanafalsafa wa Uskoti
- 1908 - Antoine Henri Becquerel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903
- 1976 - Eyvind Johnson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974
- 2001 - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji filamu wa Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ludoviko IX, Yosefu Calasanz, Eusebi, Ponsiani na wenzao, Jenesi wa Arles, Geronsi wa Sevilia, Severo wa Agde, Mena wa Konstantinopoli, Aredi, Gregori wa Utrecht, Thoma Cantelupe n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |