Nenda kwa yaliyomo

Simeoni wa Siracusa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi lake huko Trier.

Simeoni wa Siracusa (pia: wa Trier; Siracusa, Sicilia, Italia, 987; Trier, Rheinland-Pfalz, Ujerumani, 1035) alikuwa mkaapweke na shemasi mwenye asili ya Ugiriki[1] aliyeishi sehemu mbalimbali za Palestina na katika Mlima Sinai.

Baada ya matukio mengi aliishia Ujerumani amejifungia katika mnara hadi kifo chake[2][3].

Tarehe 5 Januari 1047, Papa Klementi II alimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[4] au 1 Mei [5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Jestice, Phyllis G. Holy People of the World: A Cross-Cultural Encyclopedia. Juz. la Vol. 1. uk. 808. ISBN 1-85109-649-3. {{cite book}}: |volume= has extra text (help)
  2. Heikkilä, Tuomas (2001). The Papers of the Nordic Conference on the History of Ideas 'From Local Hero to European Celebrity? The Textual History of the Legend of St. Symeon of Trier' (PDF). Juz. la Vol. 1. Helsinki. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-04-14. Iliwekwa mnamo 2020-05-19. {{cite book}}: |volume= has extra text (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: location missing publisher (link)
  3. https://www.santiebeati.it/Detailed/92829.html
  4. Martyrologium Romanum
  5. Ὁ Ὅσιος Συμεὼν ὁ Πεντάγλωσσος ὁ Σιναΐτης. 1 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  • Eberwin, ‘De sancto Symeone, recluso in porta Trevirensi’, Acta Sanctorum, Jun 1, cols 0089A-0101E.
  • Maurice Coens, ‘Un document inédit sur le culte de S. Syméon, moine d’orient et reclus a Trèves’, Analecta Bollandiana 68 (1950), 181-96.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.