Motlatsi Mafatshe
Mandhari
Motlatsi Mafatshe (alizaliwa 1984), ni mwigizaji na mwanamuziki wa Afrika Kusini.[1] Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu maarufu za State of Violence,Sokhulu &Partners II na Zama Zama[2]. Kando na uigizaji, yeye pia ni mwanamuziki mashuhuri aliyetengeneza zaidi ya nyimbo 400.[3]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mwaka 1984 huko Soweto, Afrika Kusini katika familia ya kisiasa.[4] Alimuoa Millicent Nkangane, mbunifu wa mitindo tangu Novemba 2014.[5] Walikutana kanisani kwa mara ya kwanza.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Isidingo's Motlatsi: I don't earn enough to live the 'fab life of a celeb'". timeslive. 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.
{{cite web}}
:|archive-date=
requires|archive-url=
(help); Check date values in:|date=
(help) - ↑ "Motlatsi Mafatshe". IMDb (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "Getting to know Isidingo's Motlatsi Mafatshe". citizen. 21 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2020.
{{cite web}}
:|archive-date=
requires|archive-url=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Isidingo's Motlatsi on being judged for coming from ikasi: It doesn't make me uneducated". timeslive. 21 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2020.
{{cite web}}
:|archive-date=
requires|archive-url=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Motlatsi Mafatshe's wife: Thank you for making sure I'm the best". timeslive. 21 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2020.
{{cite web}}
:|archive-date=
requires|archive-url=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Here's how Isidingo's Motlatsi & his wifey keep the flame alive". timeslive. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2020.
{{cite web}}
:|archive-date=
requires|archive-url=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link)