Nenda kwa yaliyomo

Athena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:52, 22 Aprili 2015 na Magioladitis (majadiliano | michango) (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|pt}} (2) using AWB (10903))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Athena
Mungu wa Kike wa Busara na Hekima
MakaoMlima Olimpos
AlamaBundi, Mzeituni, Nyoka, Egida, Deraya, Helmeti na Mkuki
WazaziZeu na Meti
Ulinganifu wa KirumiMinerva

Athena (Kiatika: Ἀθηνᾶ, Athēnā au Ἀθηναία, Athēnaia; Kihomeri: Ἀθηναίη, Athēnaiē; Kiionia: Ἀθήνη, Athēnē; Kidoriki: Ἀθάνα, Athana) alikuwa binti wa Zeu na Meti. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa busara na hekima. Analingana na Minerva katika dini ya Roma ya Kale.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.