Nenda kwa yaliyomo

Liwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:05, 18 Aprili 2006 na Kipala (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Liwali au wali ni cheo cha msimamizi wa eneo fulani.

Asili ni neno la Kiarabu "ولي" linalomaanisha mtawala wa mahali au eneo asiyejitegemea bali aliyechaguliwa na serikali kushughulikia mambo ya utawala katika eneo fulani. Mara nyingi katika nchi za utamaduni wa Uislamu Wali alisimamia "wilaya".

Katika eneo la Waswahili maneno ya wali au liwali yalichanganywa kwa maana moja kumtaja mkuu wa mahali au wa mji.