Nenda kwa yaliyomo

Kiota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:10, 15 Novemba 2021 na ChriKo (majadiliano | michango) (Majina ya ndege)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Kiota cha kwera wa Asia ya Kusini, Yelagiri, Uhindi.
Kingoyo akijenga kiota chake Bangalore, Uhindi.
Kiota cha shomoro uso-mweusi Hifadhi ya Nyerere
Viota vya shomoro uso-mweusi vikiwa viwili Hifadhi ya Nyerere

Kiota ni sehemu ambayo ndege hufanyia shughuli kama kulala, kutaga mayai na kutunza makinda yake mara baada ya kutotolewa. Kiota huwa kama nyumba ya ndege.

Ndege hutengeneza kiota chake mwenyewe kwa kutumia nyasi na mara nyingi hukitengenezea juu ya miti. Ndege hufanya hivi ili kuviepusha na vitu vya hatari vilivyopo ardhini. Vitu hivyo ni kama wanyama wa hatari kama nyoka na wengine walao ndege.

Pia kiota kinaweza kutengenezwa kwa udongo, manyoya na hata vijiti.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiota kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.