Nenda kwa yaliyomo

Bomet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:23, 16 Januari 2021 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Barabara ya Narok-Bomet katika Mji wa Bomet


Bomet
Kaunti Bomet
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 110,963

Bomet ni mji mkuu wa kaunti ya Bomet nchini Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Wakazi walikuwa 110,963 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.