Nenda kwa yaliyomo

Mboni Mohamed Mhita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 04:46, 31 Oktoba 2019 na Holder (majadiliano | michango) (corr using AWB)

Mboni Mohamed Mhita ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Handeni Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017