Nenda kwa yaliyomo

Mboni Mohamed Mhita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:46, 10 Juni 2017 na Jadnapac (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mboni Mohamed Mhita''' ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Wabunge wa Tanzania 2015|mbun...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mboni Mohamed Mhita ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Handeni Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017