Ytri
Ytri ni elementi na metali yenye kifupi Y na namba atomia 39 katika mfumo radidia.
Ytri | |
---|---|
Jina la Elementi | Ytri |
Alama | Y |
Uzani atomia | 88.90585 u |
Valensi | 2, 8, 18, 9, 2 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1799 K (1526 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 3609 K (3336 °C) |
Kiasili haipatikani kama elementi peke yake ila tu katika hali ya kampaundi na elementi mbalimbali. Baada ya kutolewa katika mchanganyiko na kusafishwa rangi yake ni nyeupe-kifedha.
Matumizi yake ni hasa kwa rangi nyekundu katika mitambo kama neli zinazoonesha rangi katika skrini cha televisheni au cha kompyuta.
Jina limetokana na kijiji cha Ytterby nchini Uswidi ambako ilitambuliwa mara ya kwanza.[1].
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ytri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |