Russel Crouse
Russel Crouse (20 Februari 1893 – 3 Aprili 1966) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1946, pamoja na Howard Lindsay, Crouse alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao State of the Union.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Russel Crouse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |