Madaraka
Madaraka ni uwezo ambao mtu hupewa ili kuongoza kundi fulani la watu. Madaraka hayo huweza kufikia kuwa ya kuongoza kundi kubwa la watu au hata nchi nzima.Uongozi unaweza kuwa ni wa mtu mmoja mmoja au wa kundi kubwa la watu.
Madaraka hutolewa kwa njia mbili ambazo ni kuteuliwa au kuchaguliwa. Uongozi wa kuchaguliwa hupatikana kwa kupiga kura huku uongozi wa kuteuliwa ukipatikana kwa kuteuliwa.
Faida za uongozi
haririSifa za kiongozi bora
hariri- Huwa mchapa kazi.
- Huwa mkweli.
- Huwa mwaminifu.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |