Landeriki wa Paris

(Elekezwa kutoka Landeriko)

Landeriki wa Paris (kwa Kifaransa: Landry; alifariki Paris, Ufaransa, 656 hivi) alikuwa askofu wa ishirini na nane wa mji huo kuanzia mwaka 650 hadi kifo chake.

Sanamu ya Mt. Landeriko, Paris, Ufaransa.

Ili kusaidia fukara wakati wa njaa aliuza hata vyombo vya ibada[1] na kujenga hospitali[2] karibu na kanisa kuu[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Juni[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. ""About our Patron, St. Landry", St. Landry Catholic Church, Opelousa, Louisiana". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-25. Iliwekwa mnamo 2023-09-10.
  2. Harper, John N., "There are four saints named Landry in Catholicism. Who was ours?", Daily Advertiser, November 4, 2013
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/56770
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • François De Vriendt, Saint Landry, évêque de Paris, dans Dictionnaire d'histoire et de géographie ecclésiastiques, t. 30, Paris, 2008, col. 289-292. (Kifaransa)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.