Kubadilishana Mateka wa Vita
Kubadilishana mateka, ni makubaliano kata ya pande mbili zinazokizana kwa ajili ya kuwaachilia huru mateka wa vita, aidha wapelelezi, wafungwa na mda mwingine miiliya waliofariki vitani.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Kershner, Isabel (2008-07-17), "Yielding Prisoners, Israel Receives 2 Dead Soldiers", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-08-16
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |