Kideni
(Elekezwa kutoka Kidenmark)
Kideni ni moja kati ya lugha za Kijerumaniki, kinazungumzwa nchini Udeni, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5.5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Udeni, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.
Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:
Kiswahili | Kideni |
---|---|
Salam | Hej |
Kwaheri | Farvel |
Ahsante | Tak |
Unatoka Wapi ? | Hvor kommer du fra? |
Pamoja | Med |
Mimi | Jeg |
Ndiyo | Ja |
Hapana | Nej |
am/are/is | Er |
Kiingereza | Engelsk |
Kama | Hvis |
Ninakupenda | Jeg elsker dig |
Chumba | Værelse |
Copenhagen | København |
Ankara | Regning |
Msosi | Mad |
Sawa | Okay |
Mwamvuli | Paraply |
Wapi | Hvor |
Nani | Hvem |
Ipi | Hvilken/hvilket |
Bei | Prisen |
Iko wapi | Hvor er |
Uwa. Ndege | Lufthavn |
Barabara | Vej |
Jogoo | Hane |
Kuku Jike | Kylling |
Samaki | Fisk |
Asiyekula nyama | Vegetar |
Fananisha | Sammenligne |
Treni | Tog |
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kideni Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kideni katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dan
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kideni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |