Karne ya 10
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 8 |
Karne ya 9 |
Karne ya 10
| Karne ya 11
| Karne ya 12
| ►
Miaka ya 900 |
Miaka ya 910 |
Miaka ya 920 |
Miaka ya 930 |
Miaka ya 940 |
Miaka ya 950 |
Miaka ya 960 |
Miaka ya 970 |
Miaka ya 980 |
Miaka ya 990
Karne ya 10 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 901 na 1000. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 901 na kuishia 31 Desemba 1000. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
Watu na matukio
haririKarne: Karne ya 9 | Karne ya 10 | Karne ya 11 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 900 | 900 901 902 903 904 905 906 907 908 909 |
Miaka ya 910 | 910 911 912 913 914 915 916 917 918 919 |
Miaka ya 920 | 920 921 922 923 924 925 926 927 928 929 |
Miaka ya 930 | 930 931 932 933 934 935 936 937 938 939 |
Miaka ya 940 | 940 941 942 943 944 945 946 947 948 949 |
Miaka ya 950 | 950 951 952 953 954 955 956 957 958 959 |
Miaka ya 960 | 960 961 962 963 964 965 966 967 968 969 |
Miaka ya 970 | 970 971 972 973 974 975 976 977 978 979 |
Miaka ya 980 | 980 981 982 983 984 985 986 987 988 989 |
Miaka ya 990 | 990 991 992 993 994 995 996 997 998 999 |
- Oto I anaunganisha tena sehemu kubwa ya Ulaya magharibi na kuunda Dola Takatifu la Kiroma la Kijerumani
- Oto I anawagawia maaskofu kadhaa maeneo ya utawala
- Ustaarabu wa Watolteki huko Meksiko
- Maendeleo ya kilimo kwa kupanda mbegu tofauti kwa zamu ya miaka mitatu, kwa kutumia mashine mpya za umwagiliaji n.k.
- Huko Baghdad kinaanza chuo kikuu cha kwanza cha uganga
- Wavikingi wanafikia Amerika kutoka Ulaya kupitia Bahari ya Atlantiki karne tano kabla ya Kristofa Columbus