Justiniani II
Kaisari Justiniani II (668/669 - 4 Novemba 711) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 685 hadi 695, tena kutoka 705 hadi 711, alipouawa kwa kiburi na ukatili wake.
Alijitahidi kurudisha Dola la Roma katika hadhi yake ya zamani.
Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kuendesha mtaguso wa tano-sita katika ikulu yake.
Tangu kale Waorthodoksi wanamheshimu kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Αυτοκράτορες που έγιναν Άγιοι". 3gym-mikras.thess.sch.gr. Iliwekwa mnamo 2021-07-17.
- ↑ "Ορθόδοξος Συναξαριστής :: Άγιος Ιουστινιανός Β' ο βασιλιάς". www.saint.gr. Iliwekwa mnamo 2021-07-17.
Marejeo
hariri- Ostrogorsky, George (1956). History of the Byzantine State. Oxford: Basil Blackwell.
Vyanzo
haririVyanzo vikuu
hariri- Theophanes the Confessor, Chronographia.
Vinginevyo
hariri- Kazhdan, Alexander, mhr. (1991), Oxford Dictionary of Byzantium, Oxford University Press, ISBN 978-0-19-504652-6
- Norwich, John Julius (1990), Byzantium: The Early Centuries, Penguin, ISBN 0-14-011447-5
- Ostrogorsky, George (1956). History of the Byzantine State. Oxford: Basil Blackwell.
- Moore, R. Scott (1998) "Justinian II (685–695 & 705–711 A.D.)". De Imperatoribus Romanis.
- Bury, J.B. (1889). A History of the Later Roman Empire from Arcadius to Irene, Vol. II, MacMillan & Co.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Justiniani II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |