Franz Schubert
Franz (Peter) Schubert (alizaliwa mjini Vienna, 31 Januari 1797 na kufariki Vienna 19 Novemba 1828) alikuwa mtunzi wa Opera wa Kiaustria. Ingawa alifariki dunia akiwa na umri wa maiaka 31 lakini alitunga zaidi ya nyimbo elfu moja.
Na inaamika kwamba kazi zake ni miongoni mwa kazi bora ziliwahi kutungwa. Alitunga ala nzuri zenye kupendeza. Kulikuwa na watunzi wengi wakubwa waliowahi kuishi mjini Vienna: Haydn, Mozart na Beethoven, lakini Schubert ni yeye peke yake aliyezaliwa mjini Vienna. Schubert alikuwa ndiyo mtunzi mkubwa wa mwisho wa muziki wa klasiki na Romantic music.
Viungo vya nje
hariri- Franz Schubert discography katika MusicBrainz
- Franz Schubert katika Internet Broadway Database
- Franz Schubert kwenye Internet Movie Database
- Catalogue of Works by Franz Schubert Ilihifadhiwa 30 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Digital reproductions of score manuscripts and letters by Franz Schubert Ilihifadhiwa 17 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- Franz Peter Schubert: Master of Song Ilihifadhiwa 8 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Notes on Franz Schubert by pianist Bart Berman
- The Schubert Institute (UK) Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine., detailed time-line, biography, work list and (flawed) family tree
- The Schubert Society of the USA Ilihifadhiwa 12 Januari 2006 kwenye Wayback Machine.
- The Franz Schubert Society of Victoria Ilihifadhiwa 30 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine.
- Franz-Schubert-Institut in Baden bei Wien Ilihifadhiwa 11 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Shughuli au kuhusu Franz Schubert katika maktaba ya WorldCat catalog
Rekord zake na baadhi ya MIDI faili
hariri- Recordings of all works by Schubert for piano and violin
- Schubert cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Selected Lieder (MIDI)
- Kunst der Fuge: Franz Schubert - MIDI files
Nakala za muziki wake
hariri- www.kreusch-sheet-music.net Schubert's Piano Works
- http://www.schubertline.co.uk Ilihifadhiwa 21 Machi 2021 kwenye Wayback Machine. - about 250 of Schubert's Songs (Schubertline edition)
- Franz Schubert ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores by Franz Schubert katika Choral Public Domain Library (ChoralWiki)
- Free scores by Franz Schubert katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Works by Franz Schubert katika Project Gutenberg
- Schubert's Sheet Music Ilihifadhiwa 1 Machi 2006 kwenye Wayback Machine. by Mutopia Project
- Lieder sheet music