Fearless
Fearless ni albamu ya pili ya msanii wa muziki wa country-pop wa Kimarekani, Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008 kupitia studio ya Big Machine Records. Albamu ilianza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu iliuza kopi 592,304 katika wiki ya kwanza, na kuifanya iwe albamu iliyouza vizuri katika wiki ya kwanza kwa mwaka wa 2008 kwa msanii wa kike.
Fearless | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Taylor Swift | |||||
Imetolewa | 11 Novemba 2008 (see Historia ya kutolewa) |
||||
Aina | Country pop | ||||
Urefu | 53:41 | ||||
Lebo | Big Machine na Universal Music Group | ||||
Mtayarishaji | Scott Borchetta (exec.), Nathan Chapman, Taylor Swift | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Taylor Swift | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Fearless | |||||
|
Fearless imekuwa albamu ya kwanza kuuza kopi milioni kwa mwaka wa 2009,[2] kwa kuuza kopi 1,608,000+ tangu kuanzia tar. 1 ya mwezi wa Januari.[3] Albamu imetayarisha viabao vikali vinne ambavyo vyote vimeingia katika kumi bora - "Change" (#10), "Love Story" (#4), "Fearless" (#9) na "You Belong with Me" (#2). Albamu pia imetayarisha vibao vikali sita ambavyo navyo vimeingia kwenye 20 bora. Vibao hivyo ni pamoja na "You're Not Sorry" (#11) na "White Horse" (#13). Single ya tatu, "You Belong with Me", umekuwa wimbo mashuhuri sana katika kazi za Swift, kwa kupata mafanikio nchini na nje ya nchi.
Orodha ya nyimbo
hariri- "Fearless" (Taylor Swift, Liz Rose, Hillary Lindsey) — 4:01
- "Fifteen" (Swift) — 4:54
- "Love Story" (Swift) — 3:55
- "Hey Stephen" (Swift, Artie Garr) — 4:14
- "White Horse" (Swift, Rose) — 3:54
- "You Belong with Me" (Swift, Rose) — 3:51
- "Breathe" (akimshirikisha Colbie Caillat*) (Swift, Colbie Caillat) — 4:23
- "Tell Me Why" (Swift, Rose) — 3:20
- "You're Not Sorry" (Swift) — 4:22
- "The Way I Loved You" (Swift, John Rich) — 4:04
- "Forever & Always" (Swift) — 3:45
- "The Best Day" (Swift) — 4:05
- "Change" (Swift) — 4:40
Meingine Yaliyo-ongezewa
- "Love Story Music Video
- "Change Music Video
Toleo Jipya la Nyimbo (Fearless Platinum Edition)[4]
Nyimbo 13 kutoka katika toleo la kawaida jumlisha:
- "Jump Then Fall"
- "Untouchable"
- "Forever & Always (Piano Version)"
- "Come In With the Rain"
- "SuperStar"
- "The Other Side of the Door"
| width="50%" align="left" valign="top" | Nyimbo za ziada za kimataifa
- "Our Song" (International Version) — 3:24
- "Teardrops on My Guitar" (International Version) — 3:10
- "Should've Said No" (International Version) — 4:06
Nyimbo za ziada za Japani[5]
- "Beautiful Eyes" (Swift)
- "Picture to Burn" (Swift, Rose) — 2:57
- "I'm Only Me When I'm with You" (Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo)
- "I Heart ?" (Swift)
iTunes ya UK na nyimbo zake za ziada[6]
- "Umbrella" (Live from SoHo) — 1:31
- "A Place In This World" (Live from SoHo) - 3:26
- Video Interview Piece — 2:59
Nyimbo za DVD
- "Exclusive! Watch the Recording Session of "Change"
- "Exclusive! In the Studio with Taylor Swift and Colbie Caillat Recording "Breathe"
|}
Nafasi za chati
haririAlbamu ilishika chati za Billboard 200 katika Marekani kwa takriban wiki 44 (Novemba 2008 - 17 Septemba 2009). Katika wiki hizo mfululizo ilikaa katika nafasi ya 12, kwa sasa ipo nafasi ya #10.
Chati (2008/2009) | Nafasi iliyoshika |
Matunukio | Jumla ya mauzo |
---|---|---|---|
Australian ARIA Albums Chart[7] | 2 | 3x Platinum[8] | 210,000+[8] |
Australian Country Chart[9] | 1 | ||
Belgian Albums Chart (Flanders) | 12 | 55,000 | |
Canadian Albums Chart | 1 | 3x Platinum[10] | 320,000+ |
Canadian Top Country Albums | 1 | ||
Dutch Albums Chart[11] | 10 | 25,000 | |
German Albums Chart | 6 | 40,000 | |
Greek International Albums Chart[12] | 11 | 35,000 | |
Irish Albums Chart | 2 | 40,000 | |
Oricon Albums Chart (Japan) | 4 | 120,000 | |
Polish Albums Chart | 13 | 25,000 | |
Mexican Albums Chart[13] | 9 | 50,000 | |
New Zealand Albums Chart | 1 | 4x Platinum | 65,000+[14] |
Norwegian Albums Chart[11] | 3 | Platinum [15] | 30,000+[16] |
Spanish Album Chart | 11 | 15,000 | |
U.S. Billboard 200[17] | 1 | 4x Platinum (Not Yet Certified) | 4,050,725+[18][19] |
UK Albums Chart | 2 | Gold[20] | 100,000+[21] |
Swedish Albums Chart | 5 | — | 15,000 |
Historia ya kutolewa
haririNchi | Tarehe |
---|---|
Marekani | 11 Novemba 2008 |
Kanada | |
Australia | 15 Novemba 2008 |
Australia (Limited Edition) | 27 Februari 2009 |
Ireland | 6 Machi 2009 |
Italia[22] | |
Taiwan | |
Uingereza | 8 Machi 2009 |
Philippines | |
India[23] Indian Edition | Machi 2009 |
New Zealand | 9 Machi 2009 |
Urusi | 9 Machi 2009 |
Sweden | 11 Machi 2009 |
Ubelgiji | |
Mexiko | 17 Machi 2009 |
Ulaya | 20 Machi 2009 |
Brazil | 31 Machi 2009 |
Hispania | |
Ujerumani | 15 Mei 2009 |
Japani | 24 Juni 2009 |
Ufaransa[24] | 20 Julai 2009 |
Marejeo
hariri- ↑ http://www.musicrow.com/calendars-2/single-releases/
- ↑ "Week Ending April 26, 2009: 3 Million Downloads In Record Time". Yahoo Music Blog (written by Paul Grein). 2009-04-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-14. Iliwekwa mnamo 2009-04-29.
- ↑ Grein, Paul (2009-08-05). "Week Ending Aug. 2, 2009: Not Since "Double Fantasy"". Yahoo! Music. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-30. Iliwekwa mnamo 2009-08-05.
- ↑ Taylor Swift to Re-Release 'Fearless' With New Songs
- ↑ "Fearless (Japan Import)". HMV. Iliwekwa mnamo 2009-06-02.
- ↑ http://itunes.apple.com/WebObjects/MZStore.woa/wa/viewAlbum?id=304891651&s=143444
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ 8.0 8.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-08. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display_country.asp?chart=1F20
- ↑ "CRIA - Audio and Video Certification January 2009". Canadian Recording Industry Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-20. Iliwekwa mnamo 2009-03-23.
- ↑ 11.0 11.1 http://acharts.us/album/40447
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "Top 100 Albums in Mexico - 10th April 2008" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-12-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedrianz.org.nz
- ↑ [1]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-02-15. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedCohenSoars
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-12. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ http://www.billboard.com/news/taylor-swift-to-re-release-fearless-with-1004011180.story#/news/taylor-swift-to-re-release-fearless-with-1004011180.story/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url=
ignored (help) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url=
ignored (help) - ↑ [2]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-07. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ [3]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fearless kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |