Ezekieli Moreno
Ezekieli Moreno, O.A.R. (kwa Kihispania: Ezequiél Moreno y Díaz; Alfaro, La Rioja, Hispania, 9 Aprili 1848 – Montegudo, Navarra, Hispania, 19 Agosti 1906) alikuwa Mwaugustino aliyetumia maisha yake yote kuinjilisha kama mmisionari kwanza huko Ufilipino, Asia visiwani, halafu huko Kolombia, Amerika Kusini alipopata kuwa askofu wa Pasto[1].
Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Novemba 1975, na Papa Yohane Paulo II alimfanya mtakatifu tarehe 11 Oktoba 1992[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Rafael Lazcano, Episcopologio agustiniano. Agustiniana, Guadarrama (Madrid), 2014, vol. II, 2024-2063. [Life, works, studies, iconography and wegraphy).
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Recoletos Communications Ilihifadhiwa 28 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Parton Saints Index
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |