Duka
Duka ni mahali ambapo watu wanaweza kwenda kununua vitu wanavyovihitaji au wanavyotaka. Kuna vitu vingi ambavyo watu duniani wanaweza kununua dukani. Wanaweza kwenda dukani kununua chakula, nguo, samani, vitabu[1] na vitu vingine vingi.
Watu wanaweza pia kwenda kwenye duka la kutengeneza vifaa vilivyoharibika, na wanataka watengenezewe vifaa vyao. Kwa mfano, mtu anaweza kuleta baiskeli iliyoharibika kwenye duka la kutengeneza baiskeli.
Maduka makubwa yanaitwa pia supamaketi.
Maduka yanaweza yakawa makubwa na hata hivyo faida yake ikawa ndogo.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Duka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |