Chimborazo ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 6,267 juu ya usawa wa bahari.
Kutokana na ujirani na ikweta, ndio mlima ambao kilele chake kinafikia mbali zaidi na kiini cha dunia.