2 Desemba
tarehe
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Desemba ni siku ya 336 ya mwaka (ya 337 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 29.
Matukio
hariri- 1804 - Napoleon Bonaparte anajiwekea taji la "Kaisari wa Wafaransa"
Waliozaliwa
hariri- 1885 - George Minot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 1968 - Lucy Liu, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Britney Spears, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1998 - Juice Wrld
Waliofariki
hariri- 537 - Mtakatifu Papa Silverio
- 1348 - Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1308-1318)
- 1547 - Hernando Cortes, mpelelezi kutoka Hispania
- 1987 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 2004 - Mona Van Duyn, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Habakuki, Viviana wa Roma, Pimeni wa Roma, Kromasi wa Aquileia, Papa Silverio n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |