Mboni Mohamed Mhita

Pitio kulingana na tarehe 13:39, 14 Februari 2023 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mboni Mohamed Mhita ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Handeni Vijijini kwa miaka 20152020. [1] Amekuwa mbunge wa Bunge la Afrika toka mwaka 2016. Alichaguliwa kuwa Rais wa Vijana wa Bunge la Afrika mwaka 2017.

Alipata kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi. Mnamo Januari 2023, alichaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kahama.

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017