Cynthia Mamle Morrison
Mwanasiasa wa Ghana
Cynthia Mamle Morrison (alizaliwa 17 Januari 1964) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa New Patriotic Party. Kwa sasa ni mbunge wa jimbo la Agona Magharibi. Mnamo tarehe 9 Agosti 2018, aliteuliwa kuwa Waziri mteule wa Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii na Rais Nana Akufo-Addo[1][2] [3]. Rasmi Waziri wa Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii[4].
Cynthia Mamle Morrison | |
Amezaliwa | 17 Januari 1964 Ghana |
---|---|
Nchi | Ghana |
Kazi yake | Mwanasiasa |
Marejeo
hariri- ↑ https://web.archive.org/web/20180810111309/https://www.myjoyonline.com/news/2018/August-9th/im-eager-to-work-with-oye-lithur-otiko-gender-minister-designate.php
- ↑ "Agona West NDC congratulates Cynthia Morrison". GhanaWeb (kwa Kiingereza). 2018-08-14. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ "Borstal homes are my priority - Gender Minister-nominee Cynthia Morrison". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ "National Coordinator of School Feeding Programme sacked - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa American English). 2021-05-18. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cynthia Mamle Morrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |