Arusi ya Kana
Arusi ya Kana iliyo maarufu ni ile ambayo waliihuduria Bikira Maria na Yesu Kristo pamoja na wanafunzi wake [1] kama inavyosimuliwa na Injili ya Yohane (2:1-11) [2].
Divai ilipokwisha, Bikira Maria alimhimiza mwanae ajihusishe, ikawa hivyo kwamba Yesu alifanya muujiza wake wa kwanza [3] kwa kugeuza mapipa ya maji kuwa divai bora akidhihirisha utukufu wake hata wanafunzi wake wakamuamini [4][5].
Umuhimu wa tukio hilo ni hasa kwamba ni ishara ya Yesu kuwa bwanaarusi anayemleta Roho Mtakatifu kwa wingi kuwe na furaha katika utimilifu wa Agano Jipya (divai) badala ya hatua ya maandalizi ya Agano la Kale (maji).
Katika sanaa
haririArusi ya Kana imechorwa mara nyingi katika historia ya sanaa.
-
Arusi ya Kana kadiri ya Maerten de Vos, 1596 hivi
-
Jacopo Tintoretto - Arusi ya Kana, 1561
-
Giorgio Vasari - Arusi ya Kana
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Sheen, Fulton J., The World's first Love (1952)
- ↑ H. Van der Loos, 1965 The Miracles of Jesus, E.J. Brill Press, s of Christ ISBN 0-88141-193-0 page 71
- ↑ Towner, W. S. (1996), Wedding, in P. J. Achtermeier (Ed.), Harper Collins Bible Dictionary (pp. 1205-1206), San Francisco: Harper
- ↑ e.g. Smith, D. M. (1988), John, in Mays, J. L. (Ed.), Harper's Bible Commentary (pp. 1044-1076), San Francisco: Harper.
- ↑ e.g. Geisler, N. L. (1982), A Christian Perspective on Wine-Drinking, Bibliotheca Sacra, 49
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arusi ya Kana kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |